Tuesday, January 1, 2013

ULALE PEMA PEPONI SAJUKI

Sadick Juma Kilowoko amefariki alfajiri ya leo katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwnye kitengo cha wagonjwa mahututu (ICU). Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amina

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...