Wednesday, June 4, 2014

MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA LEADES CLUB.

  Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapokaa kwa ajili ya kuagwa
 Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam  kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.
.(Picha na Pamoja Blog)

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...