Showing posts with label Global Tv Online. Show all posts
Showing posts with label Global Tv Online. Show all posts

Thursday, April 17, 2014

WEMA SEPETU NA PROFESSOR JAY WAZINDUA GLOBAL TV ONLINE

Wema Sepetu na Profesa Jay wakikata utepe kuzindua rasmi Global Tv Online leo ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd.
Wema na Prof Jay wakifungua kitambaa kuzindua Global Tv Online.
Wasanii wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo (mwenye suti).
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...