Monday, February 1, 2016

Things You Don't Know about Me : DABO

Mimi ni Mwanaharakati Binafsi niliechagua kuishi kupitia harakati binafsi kufanikisha Malengo yangu na kuishi maisha yenye ubora unaostahili

1. Ushkaji Feki sio Deal kwangu bora uwe adui kuliko kuwa snitch.

2. Sipendi sana kugombana na watu isipokuwa tu pale inapobidi.


3. Sio mjuaji sana japo najua mengi kwenye maisha kupitia niliyoyaona na yaliyonifika.

4. Usipende kuwa karibu na mimi kwa kuwa nina kitu flan au kuna kitu unafaidika ili kutimiza malengo yako maana ipo siku hivyo vitu havitokuwepo ama usipate nafasi ya kuvifikia.

5. Ukimpa deal mshkaji mwingine wakati hata mimi inaweza nifaa kama huyo uliempa na baadae uka act kama mimi ni mshkaji wako zaidi ni usaliti wa wazi


6. Usipende sana kujua vitu vyangu na kuficha vya kwako.

7. Ishi maisha yako usitambalie kivuli changu kufanikisha mipango yako kwa gear ya urafiki ama kunipa support kumbe si kweli.

8. Ushkaji wa kutojitolea ni uongo mtupu.


9. Chako chako na changu chako hapana hiyo kwangu.

10. Ishi kwa upendo usitegemee cha ndugu.

Peace & Love Africa !!!!!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...