ITV Tanzania
1 hour ago ·
Breaking News: Wanafunzi wa shule ya secondari manzese zaidi ya 30 muda huu wanaanguka hovyo na kusema maneno yasiyoeleweka kutokana na kinachohisiwa kuna nguvu za Giza zimetanda shuleni hapo huku wakijibamiza kwenye miti:
Picha/Habari Zainab Chondo