Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapokaa kwa ajili ya kuagwa
Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.
.(Picha na Pamoja Blog)