Haya sasa.....maelezo hatimaye yamepatikana....mnivumilie ni
marefu Kidogo...!
1. Pongezi kwa @officialalikiba nimesikia Mwana wa Dar es
Salaam tu lkn kiukweli Mimi binafsi umenikonga moyo...!
2.ieleweke kwambi Mimi
ni shabiki wa mziki mzuri hata ukiwa umeibwa na underground na wengi wenu
mmekuwa mashaidi maana huwa na post video nikiimba miziki ya watu tofauti hata
wasio mastar wakubwa...kwahyo mm sio shabiki wa mtu ni shabiki wa kazi ya mtu
3. Nimegundua wasanii wengi wa Tanzania tuna U mimi....hivi ulaya wangekuwa
hvyo...Hollywood c kungekuwa na mtu mmoja tu au wawili basi....nadhani umefika
muda wa wasanii Kama wasanii kila mmoja kujiamini ktk kazi Zake na kufikiria
kufanya makubwa sio kufikiria kushindana na flani.....tena tukishirikiana
tutaweza kufika mbali zaidi ya hapa...tutaendelea kila cku kuona maajabu
wenzetu Nigeria wanafika mbali....wanajielewa na wanashirikiana...!Kama
binadamu kukoseana kupo ila ukijua kosa kuomba msamaha na kuendelea na maisha
ndo busara zaidi
4. Hapa sasa....nieleweke jmn...Mashabiki wetu Tunawapenda
sawa....lakini kwa namna moja au nyingine Mashabiki mnchangia bifu za
wasanii....JAMANI Ukiwa shabiki wa Lulu haimaanishi umchukie Wolper(mfano)Kama
ww ni shabiki wa mtu sio umchukie msanii mwingine na hii kwakweli ninaiona
Tanzania tu(thou sio Mashabiki WOTE)
5. Mwisho...WOTE tunategemeana wasanii
tupendane tukiona wenzetu flani wana shida tusaidie kuondoa tofauti na
Mashabiki pia nyie ndo msaidie kupatanisha watu sio kuchochea ugomvi....Mungu
alivyotuumba wengi alikuwa na maana yake sasa we ukitaka uwe Mkali pekeyako
ungeumbwa mwenyewe ukawekwa kwenye dunia ya pekeyako tukusome kwenye history
dunia flani Kuna mtu mkali yuko pekeyake..!duh nimechoka kuandika lkn
cjamaliza.....bt I real wish wakali mngeungana mfanye mambo makubwa....naamini
inawezekana...!