Tuesday, March 26, 2013
FLAVIANA MATATA ACCOUNT FEKI
Tunapenda kuutaarifu umma ya kuwa kuna genge la watu wanaotumia jina la mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata katika mtandao wa kijamii wa Facebook ili kuwarubuni wasichana. Kuna ukurasa ujulikanao kama Flaviana Matata’s hutumika kama moja ya ukurasa wa Mwanamitindo huyu kitu ambacho si kweli. Watu hawa huwarubuni wasichana na kuwaahidi kuwatafutia kazi nje ya nchi kwa mgongo wa Mwanamitindo huyu. Genge hili la uhalifu hudai kuwa kuna ‘kaka’ yake Flaviana ambaye hukutana na wasichana hawa na baada ya mazungumzo anawalaghai kwa njia mablimbali. Pia wahusika hawa hutoza kiasi cha pesa hata kufikia shilingi laki mbili (200,000 )kama tozo kwa huduma hii ya kuwatafutia kazi nje ya nchi.
Compass Communications kama kampuni inayosimamia shughuli za Flaviana Matata inatoa tahadhari kwa umma kuwa Flaviana Matata hahusiki kwa njia yoyote na ukurasa huu au watu hawa.
Pia tunawatahadharisha wananchi kuwa wawe waangalifu kwani Flaviana Matata hayuko katika biashara ya kumtafutia mtu yoyote kazi ya Uanamitindo popote pale.
Ukurasa halisi ya Flaviana Matata kwenye mtandaomwa Facebook ni “Flaviana Lavvy Matata” .
Hivi sasa tunaendelea kushirikiana na vyombo husika kwa kutoa taarifa kuhusu uhalifu huu na tunaomba ushirikiano wenu pia Wanajamii.
Imetolewa na
Compass Communications
Maelezo zaidi wasiliana na Maria Sarungi mariast@compass-tz.com, +255 22 2182405
Monday, March 25, 2013
Friday, March 22, 2013
Thursday, March 21, 2013
Tuesday, March 19, 2013
Friday, March 15, 2013
RETRO MUSIC EQUIPMENT: BEYONCE TOOK A WALK DOWN MEMORY LANE
Beyonce really appreciates musical history
Beyonce played a tune on an old-fashioned keyboard
Beyonce went back a few decades to show off some old radios and music equipment on Tumblr
Thursday, March 14, 2013
Brothers cut man's P*NIS and balls for IMPREGNATING their sister
ZIMBABWE- A 29-year-old Tsholotsho man's life is hanging by the threat after he sustained cuts on his private parts and head when he was attacked by three men who accused him of impregnating their sister.
It is reported that Zamani Ndebele of Nkayeni village was on his way to Zibunkululu Secondary School to attend schools competitions when he met the three men who blocked his way.
Actorboy Mpofu (19), Mlungisi Khanye (22) and another boy aged 17 started accusing Ndebele of impregnating their sister and before he could explain himself, they started meting instant justice on him. They assaulted the helpless Ndebele with fists until he fell down.
Wednesday, March 13, 2013
WORLD RECORD: LONGEST FEMALE LEGS
Svetlana Pankratova, a 41-year-old basketball coack who stands at 6-feet-5-inches, holds the title for world's longest female legs in the Guinness Book of World Records. She is pictured with the world’s smallest man, He Pingping of China.
Subscribe to:
Posts (Atom)

















































