Kujifungua salama ni jambo la kumshukuru Mungu sanaa, mwanamke mwenzangu anapojifungua salama nafurahi san, maana uzazi wa siku hizi ni kazi. Kuna siku nilimuona Sintah akiwa mjamzito. Na kwenye mitandao nimeona wakisema kajifungua mtoto wa kiume. Hongera sana, na comment aliyoitoa kwa rafiki yake Zari inadhihirisha kuwa ameshajifungua. Hongera sana
Thursday, August 14, 2014
BABY'S FIRST CHANEL! NORTH WEST MAKES HER MODELLING DEBUT AGED 13 MONTHS
Never too early: North West makes her modelling debut clad in Chanel in the Fall issue of CR Fashion Book
Wednesday, August 13, 2014
MARTIN KADINDA AJIBU MASHABIKI WA WEMA BAADA YA KUULIZWA KAMA AMESHINDWA KAZI YA UMENEJA MAANA WEMA ANASHUKA
Wema akiwa na Meneja wake Martin Kadinda
Ok hapo juu ndo ujumbe alioandikiwa Meneja wa mrembo Wema Sepetu anaeitw @mrekebishatabia. Maswali mengi yamekuja baada ya Wema kufanya show Mwanza mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na hayo mashabiki waliyo wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko hivyo anvyo zunguka na hawajui anafanya nini. Wema ana mashabiki wengi sana wanaompenda na kutaka mafanikio yake. Baada ya swali hilo hapa chini ndo jibu alilitoa kaka Meneja wa Wema amejielezea vizuri sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)