Thursday, August 14, 2014

HONGERA SINTAH KWA KUJIFUNGUA SALAMA

Kujifungua salama ni jambo la kumshukuru Mungu sanaa, mwanamke mwenzangu anapojifungua salama nafurahi san, maana uzazi wa siku hizi ni kazi. Kuna siku nilimuona Sintah akiwa mjamzito. Na kwenye mitandao nimeona wakisema kajifungua mtoto wa kiume. Hongera sana, na comment aliyoitoa kwa rafiki yake Zari inadhihirisha kuwa ameshajifungua. Hongera sana


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...