Monday, January 28, 2013

UPDATE KUHUSU LULU (ELIZABETH MICHAEL) KUACHIWA KWAKE KWA DHAMANA NA MASHARTI ALIYOPEWA



Mahakama kuu leo imetangaza dhamana ya mwigizaji Lulu lakini iwapo atatimiza masharti aliyopangiwa ambayo ni pamoja na kuwasilisha hati yake ya kusafiria, kutosafiri nje ya Dar es salaam, kujiwakilisha au kuripoti mahakamani kila siku ya kwanza ya kila mwezi pamoja na wadhamini wake wawili ambao kila mmoja adhamini kwa shilingi milioni 20 za kitanzania.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...