PHOTO THANKS::LADYJAYDEE.BLOGSPOT.COM
Friday, October 12, 2012
Thursday, October 11, 2012
DIAMOND PLATNUMZ AIPIGA KAMPENI NGORONGORO CRATER NA KUWAOMBA WATANZANIA KUIPIGIA KURA KUWA MOJA YA MAAJABU SABA YA AFRIKA...!!!
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewataka watanzania kulipigia kura bonde la Ngorongoro kuwa moja ya maajabu saba ya Afrika na pia kujenga tabia ya kutembelea vivutio vya utalii vya ndani.
Subscribe to:
Posts (Atom)