Monday, October 22, 2012

Lulu arejeshwa tena mahabusu

Msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael a.k.a LULU, (Katikati), akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Kkazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa tena na hivyo mwanadada huyo ambaye umri wake unaleta utata ataendelea kusota rumande hadi hapo kesi yake itakapotajwa tena
LULU akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya Segerea kunako mahabusu. SOURCE: K-VIS BLOG

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...