Wednesday, April 16, 2014

VIOLENCE CAN CAUSE MARDER CASE


Oneni ukatili uliokithiri huyo mtoto alikuwa anaamulia ugomvi WA mama anapigwa na Baba, hatimaye yeye ndo kapigwa na mti na Baba yake mzazi.

   Baba anaitwa Mussa Mgogo mtoto anaitwa Manzala Musa
Huyu ndo Baba mzazi WA mtoto

Hii imetokea Lukali wilaya ya Bahi - DodomaNo comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...